Siku ya kuwasherehekea Babu na Nyanya Wetu

Siku ya akina nyanya na babu ni siku maalum ya kuwa sherehekea babu na nyanya zetu hapa Kenya. Tarehe mbili mwezi wa kumi ndio siku ya kuwasherehekea kina nyanya na babu zetu. Hii siku ilianza nchini Italy ambako siku ya akina nyanya na babu ilianzishwa rasmi na kutambuliwa na bunge la Italia na kuwekwa kwenye sheria mwezi wa saba mwaka elfu mbili na tano Siku ya akina nyanya na babu ilianziswa nchini Kenya kutoka Italy kukadhiriana na mpango wa Felinifoundation.nl Huu msingi lengo lake ni kukuza mawasiliano kati ya vizazi. Siku ya kina nyanya na babu ni siku ya uhusiano kati ya vizazi. Kuimarisha uhusiano kati ya vizazi uzuia upweke baadaye kwenye umri.

Felinifoundation
De Strang 29 | 3823 GL Amersfoort | The Netherlands
info@felinifoundation.nl
Tel.: +31(0)33-4550920